Timu
ya wasichana ya wanafunzi wa level 5 kutoka katika chuo cha uandishi wa
habari na utangazaji arusha waliovaa jezi za bluu wakiwasalimia
wachezaji wenzao wa level 4 kwa ajili ya kucheza mchezo wa kirafiki
katika uwanja wa FFU (Picha na Hosiana Zakayo ,ruaha class)
Wachezaji wa timu ya level 4 katika chuo cha uandishi
wa habari na utangazaji arusha wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya
kuanza kwa mchezo .(picha na Emmannuel Masao , ruaha media)
No comments:
Post a Comment