Mcheza
tennis namba moja wa Uingereza, Heather Watson, amefanikiwa kutinga nusu
fainali.
Watson aliibuka kidedea kwa kumshinda Roberta Vinci katika michezo
ya kimtaifa ya Hobart.
Watson alifanikiwa kurudi baada ya kuongozwa kwa 5-2 kabla ya kupata ushindi wa seti 7-6 7-0 6-2 kwa ushindi huo atapambana na Alison Riske wa Marekani siku ya ijumaa.
Watson amekua Mwingereza wa kwanza kushinda taji la dunia la wanawake tangu n mwaka 1988. Ndie anashikilia nafasi ya kwanza kwa ubora nchi Uingereza.
IMEANDALIWA NA MBARAKA YAHAYA KWA MSAADA WA MASHIRIKA YA HABARI
No comments:
Post a Comment