Wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa habari na utangazaji Arusha (AJTC) Wakisikiliza kwa makini Vipindi vya Radio katika ukumbi wa chuo hicho. PICHA NA, VICTOR SIMEO |
Baadhi ya wanafunzi Wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha Wakisikiliza matangazo baada ya kumalizika kwa mazoezi ya vitendo katika ukumbi wa chuo hicho. PICHA NA, MUBARAKA YAHAYA |
No comments:
Post a Comment