Thursday, 22 January 2015

Angalia wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari (AJTC) wakiwa katika mafunzo ya somo la computer


Mmoja wa wanafunzi Rehema Abdallah (aliyekaa) akiwa katika mafunzo ya vitendo chuoni hapo. Picha na Suzane Cheddy na Gilbert Massawe.
 
Mwanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji (AJTC) Neema Mushi akiwaelekeza wenzake wakati wa mafunzo ya vitendo katika somo la Computer. Picha na Suzane Cheddy na Gilbert Massawe
  CHANZO RUAHA CLASS


No comments:

Post a Comment