Wednesday, 4 March 2015

Picha ya Wiki

Mmoja wa waendesha baiskeli katika kijiji cha mto wa mbu akiwa katika pilikapilika, Wanawake ni miongoni mwa watumiaji wa usafiri wa Baiskeli kijijini hapo. Picha na Gilbert Massawe

Kundi la wanyama aina ya mbogo wakila chakula katika hifadhi ya taifa ya Manyara. Picha na Gilbert Massawe.

No comments:

Post a Comment