Tuesday, 3 March 2015

TAZAMA :baadhi ya picha zlizopigwa na wanafunzi wa darasa la ruaha ndani ya hifadhi ya manyara



PICHA NA:Happyness Sarakikya,Ruaha class
moja ya daraja lililopo ndani ya hifadhi ya manyara pamoja na wanafunzi waliotembelea eneo hilo kama sehemu ya kujifunza

katika picha ni baadhi ya nyati wanaopatikana ndani ya hifadhi ya manyara      












Baadhi ya tembo walio ndani ya hifadhi ya manyara
CHANZO:Happyness Sarakikya.

No comments:

Post a Comment