Tuesday, 3 March 2015

TAZAMA:VITU VIZURI VIPATIKANAVYO KATIKA HIFADHI YA MANYARA

 picha na: phoibe mligo, ruaha class
kivutio kizuri kinachopatik katika hifadhi ya taifa ya Manyara ijulikanayo kama maji moto kaskazini magharibi jijini Arusha Tanzania

wanyama wazuri aina ya nyumbu wanao patikana katika hifadhi ya taifa manyara
CHANZO:PHOIBE MLIGO

No comments:

Post a Comment