PICHA:NA MBARAKA YAHAYA
pichani ni tembo wakiwa katika harakati za kutafuta chakula katika hifadhi ya taifa manyara |
Wanyama aina ya nyumbu wakiwa ndani la poli la manyara |
CHANZO:MBARAKA YAHAYA
pichani ni tembo wakiwa katika harakati za kutafuta chakula katika hifadhi ya taifa manyara |
Wanyama aina ya nyumbu wakiwa ndani la poli la manyara |
Mmoja wa waendesha baiskeli katika kijiji cha mto wa mbu akiwa katika pilikapilika, Wanawake ni miongoni mwa watumiaji wa usafiri wa Baiskeli kijijini hapo. Picha na Gilbert Massawe |
Kundi la wanyama aina ya mbogo wakila chakula katika hifadhi ya taifa ya Manyara. Picha na Gilbert Massawe. |
kivutio kizuri kinachopatik katika hifadhi ya taifa ya Manyara ijulikanayo kama maji moto kaskazini magharibi jijini Arusha Tanzania |
wanyama wazuri aina ya nyumbu wanao patikana katika hifadhi ya taifa manyara |
wanafunzi wa darasa la ruaha wakiwa katika pozi tofautitofauti ndani ya hifadhi ya manyara |
baadhi ya nyumbu wakiwa katika hifadhi ya taifa manyara |
Baadhi ya Tembo wapatikanao hifadhi ya Manyara |
Huyu ni Pundamilia mwenye rangi nzuri apatikanae hifadhi ya Manyara. |
Huyu ni Pundamilia anayepatikana katika hifadhi ya Manyara
Hawa ni baadhi ya kundi la nyumbu wanaopatikana katika hifadhi ya Manyara |
hawa ni baathi ya tembo wanaopatikana ndani ya hifadhi ya kipeke manyara |
PICHA NA:Happyness Sarakikya,Ruaha class |
moja ya daraja lililopo ndani ya hifadhi ya manyara pamoja na wanafunzi waliotembelea eneo hilo kama sehemu ya kujifunza |
katika picha ni baadhi ya nyati wanaopatikana ndani ya hifadhi ya manyara |
Baadhi ya tembo walio ndani ya hifadhi ya manyara |
katika picha ni baadhi ya pundamilia wanaopatikana ndani ya hifadhi ya manyara CHANZO:ANGELA RAPHAEL |